Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao. Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chanzo halisi cha sumu hizi.
Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana na
1.Matumizi ya sigara
2.Matumizi ya pombe (Alcohol)
3.Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia
4.Ukosekanaji wa lishe sahihi.
5.Matumizi ya sigara Na pombe kali
6.Uzito mkubwa uliopindukia
7.Mtindo ya maisha
MADHARA YA SUMU MWILINI
Mtu anapokuwa na sumu nyingi hupelekea
1.Kupunguza uwezo wa kufikiria;
2. Vimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke
3. Mvurugiko wa homoni kwa wanawake
4.Kuharibu figo, ini na mapafu
5. Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele.
6.Kukosa usingizi na kuwa mchovu
8.kutokupata choo au choo kigumu
11.Kichwa kuumwa mara kwa mara
12.Maumivu ya viungo kama vile mgongo,kiuno ,magoti n.k
Kwa watu wenye changamoto hii,Kampuni tumewaandalia program ya "Detox Pack" na virutubisho muhimu. Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu.
Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.
Faida ya kutumia Detox pack
- Inaboresha kinga ya mwili
- Husaidia kuweka homoni sawa sawa.
- Virutubisho zinakuwa zinanyonywa vizuri mwilini
- Inakufanya upate usingizi mzuri
- Inasadia kuweka sawa mmeng’enyo wa Chakula.
- Inasadia ubongo kufanya kazi vizuri
- Inaondoa uvimbe wa ndani na nje.
Program hii ni muhimu sana kwa watu wa rika zote hasa katika kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza vitamini mwilini. Matokeo yanaweza kutofautiana.
FAIDA ZINGINE ZA KUTUMIA DETOX PACK
🔶Huondoa taka mwilini .
🔶Inakufanya ujisikie active.
🔶Inasafisha ngozi yako.
🔶 Inakupunguza kidogo kwa sababu ya sumu.
🔶 Haina madhara yeyote.
🔶Inatumiwa na watu wa rika zote
Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani. Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TFDA). Tunapatikana Victoria,dar es salaam (HEAD QUARTERS)
Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kudetox na ushauri wa kuimarisha afya wasiliana na mtaalamu wetu. Kwa kupata mafunzo zaidi kuhusiana na afya ya kuimairisha afya jiunge na group la whatsapp;
https://chat.whatsapp.com/7ciYIZazL1qA2laVWesjfh
Comments
Post a Comment