WHY MOST MEN FACE LOW SPERM COUNT,DIS FUNCTION EJACULATION & PRE MATURE EJACULATION?

Image
As a  man , most times your partner expects you to  step up  to the game. She needs to see you as her only  satisfaction.  But because of  busy lifestyle ,  poor eating habits ,  hormonal imbalances ,  build-up of toxins ,  ageing ,  among other factors , you end up  under-performing  or  not performing  at all in the bedroom leaving your partner frustrated. It doesn’t have to be so.  Get back your strong exciting masculinity and prowess on the highest level courtesy this Superior Forever Living natural supplement. In my opinion, the best in the market. This is not  viagra …we only deal with food supplements packed with quality nutrients specific to bring out the  BEST  In you as a man naturally!!! If you are already  good  at it, better  yourself and maintain by taking them too!!! Here comes natural products 1. 2. How Maca Works With age and...

FAHAMU MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA



Shirika la Afya Duniani (WHO), limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye unene wa kupitiliza, huku wakitaja hiyo kuwa ni sababu kuu ya kuwapo kwa watu wengi wenye maradhi ya moyo, kisukari na ini.
Pamoja na watu  hawa kuhitaji kufanya mazoezi  kupunguza uzito wa miili yao, wataalamu  wa chakula  na lishe wanashauri  kufanya mazoezi kulingana na aina ya vyakula unavyokula



                            NAMNA KUPIMA UZITO WAKO

Je unafahamu BMI yako?

Body Mass Index (BMI) ni kipimo kinachotumia urefu na uzito wako kujua Kama una uzito wa kiafya. 


Kujua kipimo  ya  BMI unachostahili  kuwa nacho ,unachukua herufu  wako kwa mita * herufu kwa mita *24.9


Ikiwa BMI yako ni:
* Chini ya 18.5- una underweight.

* Kati ya 18.5 na 24.9 - una uzito sahihi kwa afya .


* Kati ya 25 na 29.9 - una overweight.

* Kutoka 30 Na zaidi -una uzito uliopitiliza.


                       MADHARA YA KUWA UZITO MKUBWA 
Ukiwa una uzito wa kupitiliza itasababisha madhara yafuatayo;
1.Matitizo kwenye figo

2.Uwepo wa michirizi

3.Kupunguza hamu ya tendo la ndoa

4.Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji

5.Kuharibu ini

6.Hupelekea uwezekano wa kupata kisukari,tatizo la presha  na kwenye guot.

7.Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo

8.Hupelekea  kuleta shida kwenye mfumo wa ubongo

9.Hupunguza kasi ya kuishi

10.Huleta shida kwenye mmeng'enyo wa chakula

11.Maumivu kwenye viungo kama vile magoti,kiuno nk

12.Kuongeza kiwango cha mafuta mwilini.






                                SULUHISHO LA KUDUMU 


Programu ya kwanza  inaitwa "Detox Pack" .Programu hii itachukua siku tisa ambazo kazi yake kubwa ni safisha mwili na kuandaa mwili.
Faida ya  kutumia Detox pack
  • Inaboresha kinga ya mwili
  • Husaidia kuweka homoni sawa sawa.
  • Virutubisho zinakuwa zinanyonywa vizuri mwilini
  • Inakufanya upate usingizi mzuri
  • Inasadia kuweka sawa mmeng’enyo wa Chakula.
  • Inapunguza kasi ya uzee
  • Inakupa nguvu ya kutosha 
  • Inasadia ubongo kufanya kazi vizuri
  • Inaondoa uvimbe wa ndani na nje.




                 
                      FAIDA ZINGINE  ZA  KUTUMIA DETOX PACK
🔶Inachukua siku tisa.
🔶Huondoa taka mwilini .

🔶Inakufanya ujisikie active.

🔶Inasafisha ngozi yako.

🔶 Inakupunguza kidogo kwa sababu ya sumu.

🔶 Haina madhara yeyote.
🔶Inatumiwa na watu wa rika zote


Program hii ni muhimu sana kwa watu wa rika zote hasa katika kuimarisha kinga ya mwili na kuongeza vitamini mwilini. Matokeo yanaweza kutofautiana.
Kwa wadada hili limekua Tatizo kubwa kwa Dada wengi sana #KAKITAMBI". Kinamfanya Msichana akose Confidence na mwili wake, pia anakua Uncomfortable kuvaa Top Fupi au Skinny Top.



                                      



Utofauti wa programu yetu  na program zingine.



Baada ya kutumia Detox pack utaendelea na programu ya pili  ya kupunguza uzito kama utapendelea kupunguza uzito zaidi.Baadhi ya watu waliopungua uzito  

                             










Kwa watu wenye changamoto hii,Kampuni tumewaandalia Program maalamu na virutubisho muhimu. Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu. 

Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyoProteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na  mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani. Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TFDA). Tunapatikana Victoria,dar es salaam (HEAD QUARTERS)


Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kudetox na  ushauri wa kuimarisha afya   wasiliana na mtaalamu wetu. Kwa kupata mafunzo zaidi kuhusiana na afya ya kuimairisha afya  jiunge na group la whatsapp; 

https://chat.whatsapp.com/9bObCXwsyKwKipjB27U69F




Comments

Popular posts from this blog

WHY MOST MEN FACE LOW SPERM COUNT,DIS FUNCTION EJACULATION & PRE MATURE EJACULATION?

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI - HEMORRHOIDS