WHY MOST MEN FACE LOW SPERM COUNT,DIS FUNCTION EJACULATION & PRE MATURE EJACULATION?

Image
As a  man , most times your partner expects you to  step up  to the game. She needs to see you as her only  satisfaction.  But because of  busy lifestyle ,  poor eating habits ,  hormonal imbalances ,  build-up of toxins ,  ageing ,  among other factors , you end up  under-performing  or  not performing  at all in the bedroom leaving your partner frustrated. It doesn’t have to be so.  Get back your strong exciting masculinity and prowess on the highest level courtesy this Superior Forever Living natural supplement. In my opinion, the best in the market. This is not  viagra …we only deal with food supplements packed with quality nutrients specific to bring out the  BEST  In you as a man naturally!!! If you are already  good  at it, better  yourself and maintain by taking them too!!! Here comes natural products 1. 2. How Maca Works With age and...

FAHAMU YA AFYA YA TEZI DUME KWA MWANAUME




Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. 

Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati  ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume. 

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume. Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.



  1. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
    Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

    Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:

    -       Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini
    -       Uwepo wa sumu nyingi mwilini
    -       Kutokufanya mazoezi
    -       Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
    -       Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
    -       Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
    -       Msongo wa mawazo (Stress)
    -       Magonjwa ya zinaa
    -       Umri mkubwa
    -       Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,
    -       Historia ya Familia (Kurithi)
    -       Mazingira (Ethnicity)

    1. DALILI  ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
      Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10. 
      Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer). 
      Saratani ziko stage nne. Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

      Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako mzima wa uzazi wa mwanaume.

      a)    Dalili za awali  

      -       Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
      -       Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
      -       Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
      -       Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
      -       Kuhisi kibofu kimejaa mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
      -       Homa
      -       Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

      b)   Dalili za mtu aliyeathirika

      -       Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
      -       Miguu kuwa dhaifu
      -       Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
      -       Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
      -       Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
      -       Tumbo kuja gesi mara kwa mara


         III. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA
      Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugundulika kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. 

      Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.



      Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:

      -       Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
      -       Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
      -       Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
      -       Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
      -       Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
      -       Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
      -       Kifo




      IV. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA

      a)    Suluhisho Linalopendwa

      Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
      Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana. 

      Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
      1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:
      1. Madawa
      1. Upasuaji
      Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali kama madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.

      “Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”
      – Johnathon Waxman, Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London

      Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”
      – Johnathon Waxman
      Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.


      b)   Suluhisho la kudumu (Bora)
      1. Kula mboga mboga na matunda kwa wingi kulingana na kundi la damu yako.
      2. Punguza au acha kuvuta sigara
      3. Punguza au acha utumiaji wa pombe kali.
      4. Punguza kukaa masa nane kwa siku.Fanya mazoezi kwa wingi.(Sitting is a new smoking)
      5. Kutovaa nguo za kubana
      6. Vaa chupi za cotton na sio material yeyote.
      7. Kuhakikisha Uume uwe una erect mara kwa mara
      8.Na cha mwisho ambacho ni muhimu kuliko  vyote ni utumiaji  wa virutubisho (supplements).Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho mwiliunavyohitaji.

      Kwa watu wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaumeKampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Bidhaa hizi ni vyakula, siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu. 

      Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyoProteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na  mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani. Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TFDA). Tunapatikana Victoria,dar es salaam (HEAD QUARTERS)



      Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na  ushauri wa kuimarisha afya yake ya Tezi Dume (Prostate Gland) na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume,   wasiliana na mtaalamu wetu. Kwa kupata mafunzo zaidi kuhusiana na afya ya mwanaume   jiunge na group la whatsapp; 



      Comments

      Popular posts from this blog

      FAHAMU MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA

      WHY MOST MEN FACE LOW SPERM COUNT,DIS FUNCTION EJACULATION & PRE MATURE EJACULATION?

      UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI - HEMORRHOIDS