WHY MOST MEN FACE LOW SPERM COUNT,DIS FUNCTION EJACULATION & PRE MATURE EJACULATION?

Image
As a  man , most times your partner expects you to  step up  to the game. She needs to see you as her only  satisfaction.  But because of  busy lifestyle ,  poor eating habits ,  hormonal imbalances ,  build-up of toxins ,  ageing ,  among other factors , you end up  under-performing  or  not performing  at all in the bedroom leaving your partner frustrated. It doesn’t have to be so.  Get back your strong exciting masculinity and prowess on the highest level courtesy this Superior Forever Living natural supplement. In my opinion, the best in the market. This is not  viagra …we only deal with food supplements packed with quality nutrients specific to bring out the  BEST  In you as a man naturally!!! If you are already  good  at it, better  yourself and maintain by taking them too!!! Here comes natural products 1. 2. How Maca Works With age and...

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI - HEMORRHOIDS

Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa. Ugonjwa huu unasababisha mwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa. 

Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 30 – 70.  


Kuna aina mbili za bawasili:
  1. Bawasiri ya Ndani: Hiki ni kinyama kinachotokea ndani kabla hakijatokea nje.
  2. Bawasiri ya Nje: Hiki ni kinyama au kiviumbe kinatokea nje baada yakutokea ndani. Kinatokea nje kwa walioathirika, na ukikaa muda mrefu na huu ugonjwa unajikogotea matatizo ya kiafya ambayo sio rahisi kukabiliana nayo, na mara nyingi ugonjwa huu unasababisha vifo vya ghafla.


                                 II.        CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI


Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Huu mfumo ukishakua mbovu hupelekea kutokupata choo vizuri.

Mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula unasababisha chakula kisimeng'enywe vizuri kwenye utumbo mdogo na hivyo kupelekea chakula kupitiliza kwenda moja kwa moja kama kilivyo kwenda kwenye utumbo mkubwa ambapo maji maji kutoka kwenye chakula hufyonzwa na kuacha chakula kikiwa kikavu.Inapofikia wakati wa kupata choo; choo kinakua kikavu hivyo unatumia nguvu nyingi kukisukuma choo kitoke. Sasa kitendo hicho kinapelekea misuli ya haja kubwa kutanuka na kupelekea kukwanguliwa na choo kigumu na hivyo kinyama kuanza kujitengeneza, na hapo ndipo utaanza kusikia maumivu na miwasho kwa ndani, na mara nyingine kupata choo chenye damu.Kadri unavyoendelea kupata choo kigumu misuli inaendelea kukwanguliwa na kinyama kuongezeka mpaka kinatokezea nje na hicho kinyama kinaitwa Bawasiri (Hemorrhoids).Mtu anastahili kupata choo kulingana na milo anayetumie kila siku. Mtu mwenye afya nzuri anapata choo kulingana na milo aliyopata kwa siku. Kama unauwezo wakupata milo mitatu kwa siku, unasitahili kupata choo mara tatu kwa siku, tena choo chako kitoke na urefu sawa wa ndizi mbivu, bila kujikatakata kama kile cha mbuzi. 


Hivi ni baadhi ya vitu vingine vinapelekea mtu kupatwa na ugonjwa wa bawasiri.

Kufanya mapenzi kinyume na maumbile

 



                 III.        DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI – CHUKUA TAHADHARI MAPEMA
 


-       Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu mwasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda fulani.


-       Kukatishwa kwa haja kubwa na kurudi ndani wakati wa kujisaidia. Hiki kitendo nikibaya sana.


-       Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. Uvimbe huu unaanza kuota kama upelepele.


-       Kujitokezea kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa. Kinyama hiki kinaanzia ndani ya tundu la haja kubwa. Kikitokea nje, ujue kwamba una hili tatizo la bawasiri kwa muda mrefu, na linaweza kusababisha vifo vya ghafla kwa sababu mishipa inayosafirisha damu ndio inakwanguliwa na mwishowe kuathirika. Chukua tahadhari mapema kabla hujaathirika sana au upoteze maisha; kwasababu hiki ni chanzo   cha kupatwa na magonjwa mengine mengi ya kiafya.


-       Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana


-       Kupumua (kujamba) kiasi kwamba mwenzako hawezi kuvumilia hali iliotokea ya uchafuzi wa mazingira
 


          IV.        MADHARA YA UGONJWA WA BAWASIRI – 
                  CHUKUA  TAHADHARI NA HATUA MAPEMA
 
  • Upungufu wa damu mwilini
  • Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.
  • Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa kama kidonda
  • Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote.
  • Upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanamume, ikiwemo uume kushindwa kusimama kwa muda unaotakiwa na kushindwa kurudisha heshima ya ndoa.
  •  Uume kusinyaa (unapoteza urefu na ukakamavu)
  • Sperms (Mbegu za mwamume) kutokua bora kiasi kwamba haziwezi kumpa mimba mwanamke, au kusababisha mimba kutoka kila wakati.
  • Kuathirika kisaikolojia
  • Kutojiamini katika hadhara ya watu
  

    V. JINSI YA KUDHIBITI TATIZO HILI LA BAWASIRI (HEMORHOIDS) KABLA HALIJAKUPATA

 






  • Jitahidi kupata mlo kamili kila siku. Tutumia matunda na mboga za majani kwa wingi (kila mlo).
  • Kunywa maji ya kutosha. Angalau lita 3 kwa siku.
  • Epuka kukaa chooni kwa mda mrefu
  • Jiepushe na vilevi
  • Usiwe mpenzi wavitu vya viwandani
  • Jenga utaratibu wa kusafisha mwili wako kwa kutumia Cleansing Program, ili utoe taka mwili zote, na uondoe sumu mwilini; kama vile unavyooga zaidi ya mara mbili kwa siku. (Wasiliana na si kwa huhitaji wa program ya kusafisha mwili, kuondoa sumu na kupunguza mafuta mwilini)
 


                                                VI.        NJIA ZA KUONDOA TATIZO HILI
 


a.    Tiba yake hospitalini 


Ugonjwa huu tiba yake ni operation (kukukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa ili usiendelee kukua na kusababisha magonjwa mengine. Lakini tiba hii si nzuri kwani hupelekea kujirudia tena kwa uvimbe pale mgonjwa akosapo kinga tosha mwilini. Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa, na baadae tatizo hili kujirudia kwa kasi kubwa. Operation ya Bawasiri ni bei ghali mnoo, sio wote wanaopata fursa hii hata kama sio nzuri kiafya. 


b.    Tiba nzuri ni kutumia lishe na virutubisho (mwili utajitengenezea kinga bora tena yakudumu)


Tiba nzuri ni kuandaa utaratibu wa kusafisha mfumo wako mzima wa mumeng’enyo wa chakula (Digestive System) kwa njia asilia bila kutumia makemikali yeyote.
Chanzo cha magonjwa yote tunayoyapata yanatokana na mfumo mbovu wa mmeng’enyo wa chakula na mzunguko wa damu (Poor Blood Circulation).Kila siku tunaoga zaidi ya mara mbili kwa siku, pia nakuosha magari yetu ,… n.k. vivyo hivyo tunapaswa kuandaa utaratibu wakusafisha miili yetu na kuhakikisha sehemu kuu tatu za miili yetu zinafanya kazi vizuri sana. 



VII.        Umuhimu wa kuboresha na kuimarisha sehemu kuu mbili za                                                                 mail


1.    Digestive System (Mfumo mzima wa mumeng’enyo wa chakula) 


 


2.    Blood Circulation (Mfumo mzima wa mzunguko wa damu)

 

Kwa wale wote ambao wanahitaji kusafisha mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula, kuweka sawa mfumo mzima wa mzunguko wa damu, na kuondoa au kudhibiti tatizo la bawasiriili waondokane na miwasho, maumivu na viumbe zilizojitokezea katika sehemu hiyo ya haja kubwa“Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo hapo chini.”
 N.B: Kabla hujawasiliana nasi jua kwamba, bidhaa zetu sio dawa bali ni Virutubisho vyenye Carbohydrates & Proteins, Vitamins & Mineral, Essential Fatty Acids, Trace Elements. Hivi ndo vitu mwili wetu unahitaji kuvipata ili uzidi kutengeneza kinga ya mwili kwajili ya kujiepusha na magonjwa mbali mbali, na hivi vyote tungepaswa kuvipata kupitia vyakula tunavyo kula kila siku. Lakini kulinga na mfumo wa maisha jinsi ulivyo, hatupati vitu muhimu mwili unahitaji.  Ukitumia bidhaa hizi utahangaika na kutafuta vitu mbali mbali ili utengeneze mlo kamili, pia mwili utatengeneza kinga na baadae afya yako itaboreka na kuimarishwa. Vitu vyote mwili unahitaji vimeandaliwa kiasilia bila kemikali yeyote.

BAWASIRI NI UGONJWA HATARI KAMA HUTOUCHUKULIA HATUA YA TIBA MAPEMA.








Comments

  1. Ukienda hospital haumaliz tatizo linajirudia ni product ipi ya forever living nitumie ili kumaliza tatzo

    ReplyDelete
  2. 2018 ford fusion hybrid titanium
    › wiki › 2018_ford_ › wiki › 2018_ford_ Apr 19, 2018 — micro hair trimmer Apr 19, 2018 Best for d3 fusion apple watch series 6 titanium fusion Titanium: The ultimate guide for fusion fusion fusion titanium. The ultimate guide for fusion used ford edge titanium fusion fusion Titanium is here at titanium nipple jewelry iTech. Learn More. mokume gane titanium

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

FAHAMU MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA

WHY MOST MEN FACE LOW SPERM COUNT,DIS FUNCTION EJACULATION & PRE MATURE EJACULATION?