Posts

Showing posts from November, 2017

WHY MOST MEN FACE LOW SPERM COUNT,DIS FUNCTION EJACULATION & PRE MATURE EJACULATION?

Image
As a  man , most times your partner expects you to  step up  to the game. She needs to see you as her only  satisfaction.  But because of  busy lifestyle ,  poor eating habits ,  hormonal imbalances ,  build-up of toxins ,  ageing ,  among other factors , you end up  under-performing  or  not performing  at all in the bedroom leaving your partner frustrated. It doesn’t have to be so.  Get back your strong exciting masculinity and prowess on the highest level courtesy this Superior Forever Living natural supplement. In my opinion, the best in the market. This is not  viagra …we only deal with food supplements packed with quality nutrients specific to bring out the  BEST  In you as a man naturally!!! If you are already  good  at it, better  yourself and maintain by taking them too!!! Here comes natural products 1. 2. How Maca Works With age and...

FAHAMU NI KWANINI KUNA ONGEZEKO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ?

Image
Familia nyingi zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume hususani: " Upungufu wa nguvu za kiume" .  Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+.      Kuna aina 3 za upungufu wa nguvu za kiume: -         Shahawa (sperms) hazina uwezo wa kutunga mimba. -     Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu hata kidogo shahawa zinawahi kutoka. Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa. -         Uume kutosimama (mashoga)  II.  Chanzo cha matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, ila ni kama indicator inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya ...

UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI - HEMORRHOIDS

Image
Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa. Ugonjwa huu unasababisha mwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.  Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 30 – 70.    Kuna aina mbili za bawasili : Bawasiri ya Ndani : Hiki ni kinyama kinachotokea ndani kabla hakijatokea nje. Bawasiri ya Nje : Hiki ni kinyama au kiviumbe kinatokea nje baada yakutokea ndani. Kinatokea nje kwa walioathirika, na ukikaa muda mrefu na huu ugonjwa unajikogotea matatizo ya kiafya ambayo sio rahisi kukabiliana nayo, na mara nyingi ugonjwa huu unasababisha vifo vya ghafla.                                   II.          CHANZO CHA UGO...

FAHAMU YA AFYA YA TEZI DUME KWA MWANAUME

Image
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.  Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.  Takwimu zinaonesha kwamba kati  ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.   Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awa...