Posts

WHY MOST MEN FACE LOW SPERM COUNT,DIS FUNCTION EJACULATION & PRE MATURE EJACULATION?

Image
As a  man , most times your partner expects you to  step up  to the game. She needs to see you as her only  satisfaction.  But because of  busy lifestyle ,  poor eating habits ,  hormonal imbalances ,  build-up of toxins ,  ageing ,  among other factors , you end up  under-performing  or  not performing  at all in the bedroom leaving your partner frustrated. It doesn’t have to be so.  Get back your strong exciting masculinity and prowess on the highest level courtesy this Superior Forever Living natural supplement. In my opinion, the best in the market. This is not  viagra …we only deal with food supplements packed with quality nutrients specific to bring out the  BEST  In you as a man naturally!!! If you are already  good  at it, better  yourself and maintain by taking them too!!! Here comes natural products 1. 2. How Maca Works With age and...

CLEANSE AND LOOSE WEIGHT IN JUST 9 DAYS

Image
When weight increases (obesity or over obese ) causing us diseases and health challenges such as: -        Cardiovascular Diseases (Heart Disease), Stroke  -        High Blood Pressure (Hypertension) -        Diabetes, and Kidney Diseases -        Weakened Immune System -        Fibroids and Ulcers -        Breast Cancer, Colon Cancer in Men and Endometrial Cancer  -        Prostate Gland, Erectile Dysfunction -        Infertility / Frigidity for Men, Pregnancy Complications -        Joints Problems  -        Loss of memory etc. WHAT CAN WE DO? We introduce you a Forever Lean that will make you discover a  new y...

FAHAMU MADHARA YA KUWA NA UZITO MKUBWA

Image
Shirika la Afya Duniani (WHO), limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye unene wa kupitiliza, huku wakitaja hiyo kuwa ni sababu kuu ya kuwapo kwa watu wengi wenye maradhi ya moyo, kisukari na ini. Pamoja na watu  hawa kuhitaji kufanya mazoezi  kupunguza uzito wa miili yao, wataalamu  wa chakula  na lishe wanashauri  kufanya mazoezi kulingana na aina ya vyakula unavyokula                              NAMNA KUPIMA UZITO WAKO Je unafahamu BMI yako? Body Mass Index (BMI) ni kipimo kinachotumia urefu na uzito wako kujua Kama una uzito wa kiafya.  Kujua kipimo  ya  BMI unachostahili  kuwa nacho ,unachukua herufu  wako kwa mita * herufu kwa mita *24.9 Ikiwa BMI yako ni: * Chini ya 18.5- una underweight. * Kati ya 18.5 na 24.9 - una uzito sahihi kwa afya . * Kati ya 25 na 29.9 - una overweight. * Ku...

JE UNAFAHAMU SUMU ZIKIZIDI MWILINI NINI HUTOKEA?

Image
    Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao. Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chanzo halisi cha sumu hizi.                                                       VYANZO VYA SUMU   Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana  na    1.Matumizi ya sigara    2.Matumizi ya pombe (Alcohol)    3.Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia    4.Ukosekanaji wa lishe sahihi.    5.Matumizi ya sigara Na pombe kali    6.Uzito mkubwa uliopindukia     7.Mtindo ya maisha                                MADHARA YA SU...